joomla templates

VIU In Swahili

Jifunze Kiingereza VIU

VIU’s ipo katika mji wa Washington, eneo la DC metro, inawafanya wanafunzi wawe na wasaa mzuri katika kufanyia mazoezi ujuzi wao wa lugha katika mazingira waliyopo

SHULE YA LUGHA

Mkakati wa wiki 7 ESL(kingereza kwa minyumbulisho sita)
Mkakati wa wiki 7 (ESL) hutoa aina sita za taaluma ya kiingereza

USAJILI KWA WANAFUNZI WA KIMATAIFA

  1. Fomu za maombi kwa njia ya mtandao
  2. Ada ni dola 100(hazirudishwi)
  3. Nakala ya paspoti au kitambulisho kinachotambuliwa na serikari
  4. Taarifa za awali za makubaliano na mwanafunzi
  5. Uthibitisho wa mfadhili kutoka benki
  6. Uthibisho wa fomu ya ufadhiri(isiwe ufadhiri wa Marekani au fomu ya ufadhiri wa marekani)

Mkakati wan je ya mfumo(darasa la jioni)
Mkakati huu ESLhujumuisha darasa la ESL,kiingereza kwa ajili ya biashara na kwa pamoja hufanyika” siku ya somo katika chumba cha kufundishia chenye miundombinu

ESL program(kiingereza kwa aina sita)
Kiingereza kwa mnyumbulisho wa aina sita kwa njia ya mtandao ni wa majadiliano kwa kiwango cha juu na upo maksudi ili kumsaidia mwanafunzi afaulu zaidi na zaidi(bofya hapa kujisajili)

MASOMO KWA MAANDALIZI YA MAJARIBIO
Hii hutoa kozi kumwandaa mwanafunzi kwaajili ya majaribio ya kawaida kama vile TOEFL, na IELTS, vivyo hivyo majaribio kwa vitendo, leseni na mafunzo kwa waalimu (angalia:haipatikani kwa mwanafunzi wa F-1) bofya hapa ujisajili